Wakulima kurahisishiwa upatikanaji wa mbegu bora

Dar es Salaam. Tanzania imelenga kuongeza tija ya uzalishaji wa kilimo katika mazao 13 ya kimkakati baada ya kusainiwa kwa makubaliano yanayolenga kuhakikisha wakulima wote walio katika vyama vya ushirika wanapatiwa mbegu bora na zenye tija kwa wakati. Mkataba huo wa makubaliano wa miaka mitano uliosainiwa kati ya Shirikisho la Vyama Vya Ushirika Tanzania (TFC)…

Read More

Michango mashuleni kikwazo kwa watoto wenye mazingira magumu

Dodoma. Walezi wa watoto wanaoishi katika mazingira magumu wametaja wingi wa michango ya wanafunzi shuleni kuwa inawakwamisha katika kufikia malengo na kuomba Serikali iwasaidie kutoa mwongozo. Kauli hiyo imetolewa leo Jumapili Machi 8,2026 na Mkurugenzi wa Kituo cha kulea watoto yatima na wenye mahitaji maalumu cha Rahman Day Care Center,  Rukia Abllah wakati akipokea vyakula…

Read More

Wastani wanawake wanne hukatwa matiti kila wiki KCMC

Moshi. Wakati takwimu zikionesha kuwa asilimia 14.4 ya wanawake nchini wanaugua saratani ya matiti, Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini KCMC, imesema baadhi yao hufika wakiwa katika hatua ya tatu na nne ya ugonjwa hali ambayo inapelekea wastani wa  wanawake wanne kukatwa matiti kila wiki. Hayo yamesemwa leo Jumapili Machi 8. 2026 na Ofisa…

Read More

Mastaa Ligi Kuu wavunja rekodi CRDB Federation Cup

WACHEZAJI wanaocheza timu za Ligi Kuu Bara, wameanza vyema katika Michuano ya Kombe la Shirikisho (FA), baada ya kufunga ‘Hat-Trick’ tatu hadi sasa, ikiwa ni idadi kubwa kwa nyota hao tofauti na msimu uliopita wa 2024-2025, walipofunga moja. Msimu huu wa 2025-2026, ‘Hat-Trick’, tano zimeshafungwa ikiwa ni hatua ya 32 bora na tatu ni za…

Read More

RC Burian: Tutoe taarifa za ukatili wa kijinsia, wanawake wachangamkie mikopo ya halmashauri

Tanga. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk Batilda Burian, ametoa wito kwa wananchi kushirikiana kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia huku akihamasisha wanawake kutumia fursa za mikopo inayotolewa na halmashauri ili kujikwamua kiuchumi. Akizungumza katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika leo Machi 8, 2026 katika Uwanja wa Shule ya Msingi…

Read More

Aliyechezesha Dabi ya Kariakoo apewa Kombe la Dunia 2026

Mwamuzi Amin Mohamed Amin Omar wa Misri, aliyewahi kuchezesha mechi ya ‘Kariakoo Derby’ kati ya Yanga dhidi ya Simba iliyopigwa, Juni 25, 2025, amechaguliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kuchezesha fainali za Kombe la Dunia. Katika fainali hizo za Kombe la Dunia zitakazopigwa nchi tatu za Marekani, Canada na Mexico kuanzia Juni 11,…

Read More

Simba Queens yarudi kambini kujiandaa mzunguko wa pili WPL

SIMBA Queens imeingia kambini mapema kuanza maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Wanawake nchini, huku benchi la ufundi likieleza lengo kubwa ni kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri katika mechi zilizosalia. Kocha msaidizi wa timu hiyo, Mussa Hassan Mgosi alisema kufanya maandalizi ya mapema ni muhimu kwa kikosi hicho ili kurejea uwanjani kikiwa…

Read More