Dk Tulia kujenga nyumba 13 kila kata
Mbeya. Kufuatia kuwepo kwa changamoto ya baadhi ya wazee kuishi mazingira magumu kwa kukosa makazi bora, mbunge wa Uyole Dk Tulia Ackson ameeleza mpango wake wa kujenga nyumba 13 katika kila kata jimboni kwake ili kuwarejeshea tabasamu. Dk Tulia amesema hatua hiyo ni kuikumbusha jamii kuwa na utaratibu wa kusaidia makundi hayo na wasione jambo…