Kesi ya ‘Dk Manguruwe’ Shahidi aeleza alivyotapeliwa milioni 1.5 kilimo cha soya

Dar es Salaam. Shahidi wa 20 wa upande wa Jamhuri katika kesi ya kuendesha biashara ya upatu inayomkabili Mkurugenzi wa Vanilla International Ltd, Simon Mkondya, maarufu Dk Manguruwe, ameieleza Mahakama jinsi alivyotapeliwa Sh1.5 milioni kupitia kilimo cha soya. Shahidi huyo, David Mabwira, alidai alipoteza fedha hizo baada ya kuwekeza katika zao la soya lakini hakuwahi…

Read More

Jinsi UNDP na Washirika wa Kimataifa Wanakabiliana na Sababu za Mizizi ya Misimamo mikali katika Mipaka ya Ghana – Masuala ya Ulimwenguni

Upatikanaji wa vifaa vilivyoboreshwa vya kusindika shea unasaidia wanawake kaskazini mwa Ghana kuboresha maisha na kuchangia katika jamii zenye amani na ustahimilivu. Credit: UNDP Ghana Maoni na Sifa Nutakor (umoja wa mataifa) Jumanne, Machi 03, 2026 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Machi 3 (IPS) – Katika mipaka ya dunia ambayo ni tete ambapo ukosefu…

Read More

Yanga Soccer School kuanza kusaka mastaa kitaa

YANGA inaendelea na mikakati ya kuhakikisha mpira wa miguu hapa nchini unakua na kutengeneza vijana waliopitia njia sahihi za kulelewa katika misingi inayotakiwa ili kuzitimiza ndoto zao. Hivi karibuni, klabu hiyo ilitangaza programu ya Yanga Soccer School, ambapo awamu hii umeongezeka udhamini wa GSM Foundation ili kuwasaidia vijana wasiokuwa na uwezo kifedha lakini wana vipaji…

Read More