Furahia na dumisha ndoa yako kisayansi
Kwa muda mrefu, ndoa imekuwa ikitazamwa kama jambo la hisia, bahati au mapenzi yasiyo na maelezo. Watu wengi huamini kuwa ndoa ikianza vizuri, basi itaendelea kuwa nzuri, au ikianza kwa shida, basi ni mkosi wa maisha. Lakini utafiti wa kisayansi umeanza kubadilisha mtazamo huu. Leo, sayansi inaonesha kuwa ndoa yenye furaha si bahati nasibu, bali…