Aliyekuwa DED Simanjiro afariki dunia
Simanjiro. Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Mkoa wa Manyara, Samwel Gunzah ambaye ni mfungwa amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, mkoani Dodoma. Gunzah alihukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani kwa kosa la rushwa na kutumia madaraka yake vibaya Septemba 18, 2025. Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa mitandaoni hususan mkoani…