Rais Samia Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Matanki 15 ya Mafuta Bandari ya Dar es Salaam
Na Humphrey Shao,Michuzi Tv Dar es Salaam, Machi 2, 2026 – Serikali imetangaza kuwa kesho, Machi 3, 2026, kutafanyika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa matanki 15 ya kuhifadhia mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mpango mkubwa wa kupanua na kuboresha bandari hiyo kama…