MSAJILI WA HAZINA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI LIFEZONE METAL
Na Mwandishi wa OMH Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amefanya mazungumzo na Bw. Keith Liddell, Mwanzilishi na Mwenyekiti wa kampuni ya Lifezone Metals Limited, inayomiliki Tembo Nickel Corporation Limited kwa ubia na Serikali ya Tanzania kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina. Mazungumzo hayo yalifanyika Jumatatu, Machi 2, 2026, katika Ofisi ya Msajili wa Hazina…