SMZ yatumia Sh38 bilioni kulipa fidia wananchi
Unguja. Serikali imesema Sh38 bilioni zimetumika kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na miradi mbalimbali ya maendeleo katika maeneo yao kisiwani hapa. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu, Machi 2, 2026, na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohamed, katika mkutano na waandishi wa habari kuelezea mafanikio ya siku 100 za Rais wa Zanzibar, Dk…