Vitisho vya Trump kwa Iran kuongeza makali ya vita Mashariki ya Kati
Tel Aviv. Rais wa Marekani, Donald Trump na Serikali ya Iran wametishia kuongeza makali ya vita yao kwa kulenga miundombinu ya nishati na mafuta katika Ukanda wa Ghuba, hatua inayoweza kuyumbisha tena masoko ya kimataifa ya nishati na fedha, hivyo kuzidisha mgogoro wa kikanda. Jana, Jumamosi Machi 21, 2026, Trump alitishia kuangamiza kabisa mitambo ya…