Fursa mpya kwa wasomi CUoM ikijenga kituo cha michezo kuuza vipaji Mbeya
ILI kukuza na kuendeleza vipaji na kufungua fursa za uchumi na ajira kwa wasomi, Chuo Kikuu Katoliki Mbeya (CUoM) kimesema kinatarajia kufungua kituo maalumu cha michezo ‘Academy’ mahsusi kwa wahitimu chuoni hapo. Akizungumza wakati wa fainali ya michezo ya Chuo hicho ‘Interclass’, rais wa serikali ya wanafunzi Lalgus Kilewa amesema ili kuondokana na wahitimu wenye…