Dk Mwigulu aagiza vitendea kazi vya bodaboda na mama lishe visishikiliwe

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amezitaka halmashauri, majiji, manispaa na vyombo vyote vinavyohusika na udhibiti kuacha kuwanyanyasa wajasiriamali wadogo, wakiwemo waendesha bodaboda, bajaji na mama lishe, na badala yake waachwe wafanye shughuli zao kwa uhuru. Akijenga hoja hiyo huku akishangiliwa na wananchi, amesema iwapo mwendesha bodaboda au mama lishe atafanya kosa, anatakiwa…

Read More

Shadrack Nsajigwa apania Tanzania Prisons

KOCHA mpya wa maafande wa TZ Prisons, Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’ amesema malengo makubwa aliyonayo kwa timu hiyo ni kuhakikisha timu hiyo inajinasua na janga la kushuka daraja, licha ya ushindani mkubwa uliopo msimu huu katika mechi za Ligi Kuu Bara. Nsajigwa aliyeachana na Transit Camp inayoshiriki Ligi ya Championship msimu huu, alitambulishwa rasmi kukiongoza kikosi…

Read More

Kocha Laizer aweka mikakati Fountain

BAADA ya mwenendo mbaya wa matokeo ya Ligi Kuu Bara hadi sasa, Kocha wa Fountain Gate, Mohamed Ismail ‘Laizer’ amesema kazi kubwa aliyonayo katika kikosi hicho ni kutengeneza saikolojia ya wachezaji ili wafanye vizuri kwa mechi zijazo. Akizungumza na Mwanaspoti, Laizer amesema wachezaji wa timu hiyo wanatengeneza nafasi nyingi za kufunga, ingawa suala nzima la…

Read More

Mbuni atwaa taji la ndege wa mwaka 2026 Tanzania

Arusha. Mbuni amechaguliwa kuwa ndege wa Mwaka 2026, baada ya kuibuka mshindi katika kura za kitaifa zilizoshirikisha wapenzi wa ndege nchini na kimataifa, akimrithi ‘kwezi maridadi’ (Superb Starling), aliyeshikilia taji hilo kwa mwaka 2025. Ndege huyo mkubwa zaidi duniani, ametwaa heshima hiyo baada ya kuwashinda washindani wake wanne maarufu wa uwanda wa nyasi katika kampeni…

Read More

Kilio cha madawati Shule ya msingi Ziwani chasikika

Tanga. Shule ya Msingi Ziwani, iliyopo Kata ya Pongwe jijini Tanga ambayo awali ilikuwa na madarasa mawili ya darasa la tano na sita ambayo wanafunzi walikuwa wakikaa kwenye mikeka darasani, sasa imepatiwa madawati 100 ili kukabiliana na changamoto hiyo. Mbali na shule hiyo, Halmashauri ya Jiji la Tanga imekabidhi jumla ya madawati 2,900 kwa shule…

Read More