Lissu aitahadharisha Mahakama kuhusu afya yake mahabusu 

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameieleza Mahakama ya Rufani yuko katika hatari ya afya yake kuathirika zaidi kwa kushindwa kuhudhuria kliniki ya matibabu yake kutokana na kushikiliwa mahabusu kwa muda mrefu. Hivyo, ameiomba Mahakama hiyo kulisikiliza kwa dharura shauri la mapitio lililofunguliwa mahakamani hapo na Jamhuri dhidi yake kupinga uamuzi wa…

Read More

Umuhimu wa kuisoma familia ya mtarajiwa

Kujua familia ya mwenza mtarajiwa ni jambo muhimu sana katika mchakato wa kujenga uhusiano imara wa ndoa. Familia ni nguzo muhimu katika maisha ya kila mtu, na mara nyingi inaathiri tabia, mitindo ya maisha, na maadili ya mtu. Kwa hiyo, ni muhimu kwa mpenzi kumfahamu vizuri familia ya mwenza wake mtarajiwa ili kuelewa mizizi yake,…

Read More

Trump alaumiwa kwa kufurahia kifo cha bosi wa zamani wa FBI

Dar es Salaam. Rais wa Marekani, Donald Trump, amekumbana na wimbi la lawama baada ya kutoa kauli iliyotafsiriwa kuwa ya kikatili kutokana na kifo cha Robert Mueller, aliyekuwa mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI). Mueller, mkongwe wa vita vya Vietnam na mwanasheria aliyewahi kuongoza uchunguzi nyeti kuhusu madai ya Russia kuingilia…

Read More

TUONGEE KIUME: Tuheshimu kiapo cha ndoa, talaka si ujanja

Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na wimbi la kusikitisha la kuvunjika kwa ndoa nchini, huku takwimu zikionyesha kuwa wanaume wengi wameanza kuichukulia talaka kama jambo la kawaida au fasheni. Tofauti na zamani ambapo talaka ilionekana kuwa ni jambo la mwisho na la dharura baada ya jitihada zote kushindikana, leo hii imekuwa ni kama “mazoea”…

Read More

Ndoa si mbio za kasi, ni za masafa marefu

Ukiwaona wanandoa wapya wakitembea kwa bashasha, nyuso zikiwa zimejaa matumaini na mioyo ikidunda kwa ahadi za kesho njema, ni rahisi kuvutiwa na uzuri wa mwanzo wao. Lakini pia, si ajabu kwa wanandoa wakongwe, waliodumu katika taasisi ya ndoa kwa miongo kadhaa, kuwakazia macho kwa tabasamu lenye kumbukumbu nyingi, furaha, majaribu na ushindi wa safari ndefu….

Read More

Sababu Tanzania kuendelea kukumbwa na uhaba wa maji

Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Maji Duniani leo Machi 22, 2026, wadau wa maendeleo na mazingira wameainisha sababu kadhaa zinazoendelea kuchangia uhaba wa maji nchini, huku upotevu wake ukitajwa kuwa miongoni mwa changamoto kubwa. Mbali na upotevu huo, wadau wameeleza kuwa usambazaji duni wa maji, ukosefu wa…

Read More

Kama hakutaki usimlazimishe | Mwananchi

Katika maisha ya uhusiano wa kimapenzi, watu wengi hujikuta wakihangaika kulazimisha uhusiano ambao tayari umefika mwisho au hauna uhai tena. Moja ya ukweli mgumu lakini muhimu kukubalika ni huu: ukiona mwenza wako hakutaki tena, mwache aende zake. Usilazimishe mapenzi. Mapenzi ya kweli hayawezi kulazimishwa. Yanatoka moyoni kwa hiari, si kwa mashinikizo. Unapojikuta unapigania nafasi yako…

Read More

Wademokrati US wataka kubadilishwa utawala wa Marekani, Trump na Netanyahu wamesababisha maafa ya binadamu

Kinara wa Wademokrati katika Baraza la Wawakilishi la Marekani amekosoa serikali na Warepublican nchini humo kwa hakika vita dhidi ya Iran na kusisitiza udharura wa kubadilishwa utawala wa Marekani. Hakim Jafris ambaye ni mtangazaji wa New York katika Kongresi ya Marekani ameandika katika mtandao wa kijamii wa X kwamba: “Donald Trump na Warepublican wenye misimamo…

Read More