Kardinali Pengo alivyoumaliza mwendo, kauli za viongozi

Dar es Salaam. Ameumaliza mwendo. Ndivyo inavyoweza kuelezwa hitimisho la safari ya mwisho ya Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo katika maziko yake yaliyokusanya maelfu ya waombolezaji, wakiwemo viongozi wa kitaifa na wa kidini pamoja na wananchi wa kada mbalimbali. Shughuli hizo zilianza kwa misa takatifu iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es…

Read More

Pacome atengwa Yanga ikipiga tizi la mwisho kabla ya Dabi

ZIKIWA zimesalia saa chache ipigwe mechi ya Dabi ya Kariakoo kwenye Uwanja wa New Amaan Complex hapa Unguja, kikosi cha Yanga leo Februari 28, 2026 kimefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo huo, huku mchezaji nyota wa timu hiyo, Pacome Zouzoua akionekana kufanya mazoezi peke yake. Pacome aliripotiwa kuwa kwenye matibabu ya majeraha aliyoyapata na kwamba…

Read More

Cornel amrithi Almas Kasongo TPLB

ALIYEKUWA mkurugenzi wa Fedha wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Cornel Barnabas, ameteuliwa kuwa ofisa mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB). Tangu Juni, mwaka jana, nafasi hiyo ilikuwa ikikaimiwa na Ibrahim Mwayela baada ya rais wa TFF, Wallace Karia kumsimamisha aliyekuwa akihudumu katika nafasi hiyo, Almas Kasongo, kufuatia mgogoro ulioibuka baada…

Read More

Fountain Gate yalamba dili | Mwanaspoti

TIMU ya Fountain Gate imeingia makubaliano ya miaka miwili yenye lengo la kuhakikisha kwamba wachezaji na benchi la ufundi wanakuwa katika mazingira bora ya kiutendaji wanapokuwa katika majukumu yao uwanjani. Dili jipya la timu hiyo ukiondoa yale ya udhamini wa jumla katika Ligi Kuu Bara yanayotolewa na wadhamini wa michuano hiyo, limetoka katika maji ya…

Read More

Bunge lawaita wananchi kushiriki marathoni

MBUNGE wa Makete na Mwenyekiti wa Bunge Bonanza, Festo Sanga amewataka wananchi kujumuika na wabunge katika mbio za marathoni za Bunge zinazotarajiwa kufanyika Julai 18, mwaka huu. Mbio hizo zinalenga kuchangia damu salama na kuimarisha afya. Marathoni hiyo ambayo ni ya msimu wa tatu inatarajiwa kufanyika katika viwanja vya Jamhuri, Dodoma ikikutanisha wakimbiaji wa kilomita…

Read More

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Suleiman Abdulla awaongoza wateja, wadau wa NBC kushiriki hafla ya futari Zanzibar

Pamoja na ushiriki huo Mhe Abdulla aliishukuru na kuipongeza NBC kwa kuandaa tukio hilo la kiimani, akieleza kuwa ni ishara ya moyo wa kujali na kujenga mahusiano imara na jamii. Alitoa shukrani za dhati kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kutambua mchango wa NBC katika maendeleo ya visiwa hivyo—kuanzia msaada wa kifedha, ushauri…

Read More

NDUNA MKOMANILE ANG’ARA RUVUMA: WANANCHI WAJIFUNZA MCHANGO WA WANAWAKE KATIKA VITA VYA MAJIMAJI

Wananchi mbalimbali pamoja na baadhi ya viongozi wamepata fursa ya kutembelea onyesho maalum la Nduna Mkomanile lililofanyika katika Kituo cha Baraza la Wazee wa Mila na Desturi Mkoa wa Ruvuma. Onyesho hilo limefanyika tarehe 27/02/2026, likiwakutanisha wadau mbalimbali waliotaka kujifunza na kutambua mchango wa wanawake katika historia ya ukombozi wa taifa. Nduna Mkomanile anatambulika kama…

Read More

Wakulima wa parachichi walilia ukaguzi wa mizani

Rungwe. Wakulima wa Parachichi Wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wameomba Wakala wa Vipimo (WMA), mkoani hapa kuingilia kati na kufanya ukaguzi wa kushtukiza ili kubaini uchakachuzi wa mizani ya kidigitali kutumika kuwaibia. Hatua hiyo imekuja kufuatia malalamiko ya muda mrefu ya wakulima hususani maeneo ya vijijiji kudai wanunuzi kutumia mizani iliyo nembo za mamlaka husika…

Read More