Viongozi wajitokeza maziko ya Kardinali Pengo, Pugu
Dar es Salaam. Dar es Salaam. Viongozi mbalimbali wa kitaifa wamejitokeza kushiriki mazishi ya Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, yanayofanyika katika Kituo cha Hija ya Bikira Maria, Pugu, jijini Dar es Salaam. Ibada ya Misa Takatifu ya mazishi inaongozwa na viongozi wa Kanisa Katoliki,…