Hekaya za Mkevi: Guantanamo ndani ya Bongo!

Dar es Salaam. Baada ya kubainika kuwa mifungo ya Ramadhan na Kwaresma ingeanza kwa pamoja, mlevi mmoja alipita mitaani akiyumba na kubwata: “Makobe (wasiofunga) mwaka huu imekula kwenu… mwaka huu mtaandamana! Leo ndio tutakujua wewe unaitwa Jimmy au Juma…  Mwaka huu utatafuta pa kujificha usipaone!” Alitembea na chupa yake mtaa mzima akirudia bwato lake kuhakikisha…

Read More

Shingo na misukosuko katika siasa hadi ubunge

Dar es Salaam.  Kama uliwahi kusikia kuhusu neno mapito magumu katika utumishi wa kisiasa, basi mbunge wa sasa wa Ukonga, Bakari Shingo ni miongoni mwa mifano sahihi ya watu waliopita katika njia hiyo hadi kushika wadhifa alionao. Shingo aliyeianza siasa miaka 33 iliyopita akiwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anasema aliwahi kujikuta…

Read More

Viwanja vya Ndege Nchini ni salama

SERIKALI imetoa kauli ya usalama na uthabiti wa miundombinu ya viwanja vya ndege nchini huku ikisema maboresho makubwa ya kiteknolojia yaliyofanyika yanawezesha safari za anga kuwa salama. Katika kuhakikisha viwango vya kimataifa vinazingatiwa, Tanzania imekuwa ikifanya kazi kwa karibu na Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO). Msemaji amebainisha kuwa ukaguzi wa hivi karibuni…

Read More

Mwanafunzi afa maji akienda shuleni

Arusha. Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia Ijumaa Februari 27, 2026 imesababisha kifo cha mwanafunzi mmoja na wawili kuokolewa wakati wakielekea shuleni kupitia kwenye korongo lililokuwa likipitisha maji kutoka maeneo ya miinuko. Mwanafunzi huyo, Daniel  Joseph (11) wa darasa la nne katika Shule Msingi Terrat iliyopo Kata ya Muriet jijini Arusha, mwili wake umehifadhiwa kwenye…

Read More

Vaso Psycho Ni Mwanzo Mpya Wa Ushindi Ndani Ya Meridianbet

MERIDIANBET imezidi kuthibitisha ubora wake katika soko la burudani mtandaoni kwa kuuleta mchezo wa kipekee wa Vaso Psycho kutoka Expanse. Huu ni mchezo unaolenga wachezaji jasiri wanaotaka zaidi ya burudani ya kawaida. Vaso Psycho ni jukwaa la kupima ujasiri, akili na uthubutu wako kila unapochukua hatua ya kuanza mzunguko mpya. Kila raundi ndani ya Vaso…

Read More

RC CHALAMILA AANDAA IFTAR MAALUM

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Februari 27,2026 ameandaa Iftar maalum kwa wakazi wa Mkoa huo hafla ambayo imefanyika katika ukimbi wa Diamond Jubilee. Katika hafla hiyo viongozi mbalimbali wa Dini na Serikali pamoja na wananchi kutoka maeneo tofauti ya Jiji la Dar es Salaam wamehudhuria. Mgeni rasmi katika tukio…

Read More

SERIKALI YAAHIDI KUIMARISHA UBUNIFU KATIKA SEKTA YA AFYA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Hussein Mohamed Omar (kushoto) akiwa na Mwandishi wa vitabu vya Anatomia kutoka MUHAS, Profesa David Ngassapa, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Profesa Appolinary Kamuhabwa akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa vitabu vitano vya Anatomia katika hafla…

Read More