Moshi yapendekeza halmashauri mpya ya Vunjo
Dar es Salaam. Kikao maalumu cha ushauri (DCC) Wilaya ya Moshi kimepitisha mapendekezo mawili ya kuanzishwa kwa halmashauri mpya ya Vunjo na kupandishwa hadhi kwa barabara mbili za wilaya kuwa za mkoa. Mapendekezo hayo yamekuja baada ya ziara ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi akisisitiza maboresho ya kiutendaji na…