Ishu ya utovu wa nidhamu, mastaa wakaa upande wa Aucho
UJUMBE wa kiungo raia wa Uganda, Khalid Aucho, aliouchapisha katika ukurasa wake wa Instagram kupinga tuhuma za utovu wa nidhamu na kupewa adhabu ya kusimamishwa kwa miezi mitatu, umeibua hisia na mjadala mkubwa miongoni mwa mastaa wa soka wanaocheza na waliowahi kucheza Ligi Kuu Bara. Aucho, ambaye ni mchezaji wa Singida Black Stars, amesimamishwa pamoja…