Tanzania yaingia tano bora uimara wa afya ya akili kwa vijana duniani
Dar es Salaam.Wakati nchi mbalimbali duniani zikizidisha mjadala na hatua za kudhibiti matumizi ya simu za mkononi na mitandao ya kijamii kwa watoto na vijana, ripoti mpya ya kimataifa imeiweka Tanzania katika nafasi ya tano duniani kwa kuwa na vijana wenye uimara mzuri wa afya ya akili. Ripoti ya Dunia ya Afya ya Akili 2025…