DKT MPANGO AWASILI SONGEA

…. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasili Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 26 Februari 2026. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha Tamasha la kumbukizi ya Miaka 120 ya Mashujaa wa Vita ya Majimaji litakalofanyika tarehe 27 Februari 2026, Viwanja vya Makumbusho ya Majimaji,…

Read More

RC MALIMA AIPONGEZA REA UTEKELEZAJI MIRADI MIKUBWA YA UMEME

………….. 📌Bilioni 7 kuwezesha maeneo 165 ya miji kupata huduma ya umeme Morogoro 📍Morogoro Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa utekekezaji wa miradi ya umeme maeneo ya Vijijini na Vitongoji hali iliyopelekea kuchochea uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla. RC Malima ametoa pongezi hizo leo…

Read More

Masaju akomaa na haki za raia

Dar es Salaam. Wakati Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, akiwataka majaji na mahakimu kuhakikisha wanatenda haki, kuzingatia maadili na kujiepusha na vitendo vya rushwa, wadau wamesema azma hiyo itafanikiwa iwapo wahusika watatengenezewa mazingira mazuri ya kazi. Aidha, mkuu huyo wa muhimili wa Mahakama amewaeleza watendaji hao kutekeleza majukumu yao bila kusubiri au kufuata maelekezo,…

Read More

Kwa Nini Waathirika wa Unyanyasaji wa Kijinsia wa Wanaume wa Uganda Wanateseka Kimya – Masuala ya Ulimwenguni

Dk Busingye Kabumba ni profesa wa sheria katika Chuo Kikuu cha Makerere. Alisema kuna dhana potofu kuhusu ukatili wa kijinsia dhidi ya wanaume. Credit: Wambi Michael/IPS by Wambi Michael (kampala) Alhamisi, Februari 26, 2026 Inter Press Service KAMPALA, Februari 26 (IPS) – Wakati watu kwa kawaida wanafikiria kuhusu unyanyasaji wa kijinsia, ni ubakaji wa wanawake…

Read More

Aliyekuwa Anawauza Wakenya Kujiunga Na Jeshi Urusi Akamatwa

Bakari Mahundu February 26, 2026 0 Comments Idara ya Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya imemkamata mshukiwa mmoja anayedaiwa kuhusika katika mtandao wa kuwarubuni raia kujiunga na jeshi la Urusi kupitia ahadi za kazi bandia nje ya nchi, tukio linaloibua hofu mpya kuhusu biashara haramu ya binadamu inayovuka mipaka ya mataifa. Katika taarifa…

Read More

Video: Polisi Kuhusu Mwenyekiti BAVICHA Kupotea – ”Amekimbia Kesi ya Mauaji”

Bakari Mahundu February 26, 2026 0 Comments Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limetoa ufafanuzi rasmi kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa watuhumiwa wanne, akiwemo Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Mkoa wa Iringa, Ibrahimu Myovella, wamepotea wakiwa mikononi mwa polisi. Akizungumza na waandishi wa habari,…

Read More