Waziri Mkuu ashtukia ‘mchezo mchafu’ fedha za miradi Kiteto
Dar es Salaam/Kiteto. Ziara ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, wilayani Kiteto mkoani Manyara imekuwa kaa la moto kwa kwa watumishi wa umma na wasimamizi wa miradi ya maendeleo mkoani humo, baada ya kubaini kile alichokiita, ‘mchezo mchafu’ wa kugawana fedha za umma zilizotengwa kwa miradi. Akizungumza mbele ya viongozi na wananchi, Dk Nchemba ambaye…