Benki ya Exim Tanzania Yaandaa Futari Maalum Kuimarisha Mahusiano na Wateja
Benki ya Exim Tanzania imeandaa hafla ya futari kwa wateja wake jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kuendeleza na kuimarisha mahusiano yanayojengwa juu ya misingi ya uaminifu, uwajibikaji na maadili ya pamoja. Akizungumza katika hafla hiyo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki, Bw. Jaffari Matundu, alisema kuwa mwezi mtukufu wa Ramadhani ni wakati wa…