RAIS SAMIA ASHIRIKI BARAZA LA EID -EL-FITRI KITAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu, Viongozi, Wageni mbalimbali na Watanzania kwenye Baraza la Eid El Fitr Kitaifa lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Machi, 2026. Viongozi mbalimbali pamoja na…