TRA YAPOKEA MAGARI 72 YA KISASA KUONGEZA UFANISI WA UKUSANYAJI KODI
:::::::: Waziri wa Fedha, Balozi Dk. Khamis Mussa Omar, amekabidhi rasmi magari mapya 72, pamoja na mawili kati ya 10 ya ofisi zinazotembea (“Mobile Tax Office Vehicles”), kwa mamlaka ya TRA. Magari haya yamenunuliwa kwa gharama ya jumla ya shilingi bilioni 24.8 na lengo kuu ni kuongeza ufanisi wa huduma za ukusanyaji wa kodi na…