Hukumu ya kifo msaidizi wa ndani Mganda nchini Syria yazua mjadala
Dar es Salaam. Kesi ya mfanyakazi wa ndani wa Uganda, Vicky Ajok, aliyohukumiwa kifo nchini Syria alikokuwa akifanyia kazi hiyo, imeibua mjadala wa maisha ya wafanyakazi wa ndani wakiwemo wanaosafiri kwenda mataifa ya nje. Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari kutoka nchini humo na BBC, jijini Damascus, Vicky alipatikana na hatia ya kumuua…