Mume alivyomuua mke wake, kumchuna na kutenganisha viungo vyake
Moshi. Hivi unaweza kuamini mume wa ndoa aliyependana na mkewe anaweza kufanya ukatili huu? Hii imetokea Kyerwa mkoani Kagera ambapo mume amemuua mkewe, kumkatakata na kutupa mguu wake kwenye choo cha shimo, mkono akauficha chini ya godoro, kisa wivu wa mapenzi. Mwanamume huyo, Edson Wilson maarufu kwa jina la Rukuname, mkazi wa Kijiji cha Rugasha, hakuishia…