MAHOJIANO MAALUMU: DCEA yaeleza udhibiti maiti kusafirisha dawa za kulevya-3
Dar es Salaam. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imesema kwa sasa kila maiti inayotoka nje ya nchi kuja nchini, inakaguliwa kubaini iwapo haijatumika kama chombo cha kusafirisha dawa hizo. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema hatua hiyo inatokana na kubainika mbinu ya matumizi ya maiti kusafirisha dawa za kulevya,…