JAJI BLAISE TCHIKAYA WA CONGO BRASSAVILE ACHAGULIWA KUWA RAIS MPYA WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINAADAM NA WATU
Na Seif Mangwangi , Michuzi TV, Arusha. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) imemchagua Jaji Blaise Tchikaya wa Serikali ya Jamhuri ya watu wa Kongo (Brazzaville) kuwa Rais mpya wa Mahakama hiyo akichukua nafasi ya Jaji Dkt. Modibo Sacko aliyemaliza muda wake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Kwa vyombo vya…