Stone Mosabu feat G Nako – Kuku (Official Music Video)

Global Publishers February 25, 2026 0 Comments Stone Mosabu ameshirikiana na G Nako kuleta wimbo mpya wa muziki wa Kiswahili unaoitwa “Kuku”, na tayari umekuwa gumzo kwa mashabiki wa muziki nchini. Wimbo huu unachanganya beat kali, vibes za kipekee, na maneno yanayofaa kwa kuamsha hamasa katika kila party au sherehe. “Kuku” ni ushuhuda wa ushirikiano…

Read More

Mtoto wa Mjini – 6

HUKU akiendelea kuwatazama kwa zamu vijana wale kutaka kuwakumbuka kama aliwahi kuwaona mahali, mzee Mangushi alijibu: “Marhaba…”Na baada ya kutambua sura zao zilikuwa ngeni machoni pake, akawauliza: “Niwasaidie nini?” “Kuna shida kidogo mzee wangu,” alisema mmoja wao na kumfanya mzee Mangushi kuutoa mwili wake wote nje ya mlango.“Shida gani tena?” alihoji uso wake ukitaliwa na wasiwasi.“Mimi…

Read More

Mwenzi Wako Akikuonyesha Haya, Jua Hakutaki!

KWA kawaida mtu anapompenda mtu huwa ni vigumu sana kumuacha aende. Hatamani hata siku moja kumpoteza mtu ampendaye. Atafanya kila linalowezekana kuhakikisha kwamba mhusika anakuwa mpenzi wake. Mapenzi humfanya mtu awe kipofu. Anashindwa kufikiri sawasawa na kufanya maamuzi sahihi. Hisia kali za mapenzi zinampeleka ndivyo sivyo yeye anaamini yupo sahihi. Mtu wa namna hii, mara…

Read More

Fahamu Makundi Matatu ya Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo

KUNA makundi matatu makuu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo na leo tutajadili kwa kina aina hizo za magonjwa haya ya tumbo kama ifuatavyo:1. Gastric Ulcers: Aina hii ya vidonda vya tumbo hutokea kwenye mfuko wa kuhifadhia chakula yaani tumbo. Vidonda hivi hutokea katika utumbo kwa sababu mbalimbali kama vile mtu kupata maambukizi ya bakteria…

Read More