Askofu Malasusa: Huduma za kibenki zifikie makundi yaliyosahaulika
Arusha. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amesema mafanikio ya benki ni kujenga mazingira wezeshi ya kuwafikia wananchi waliosahaulika katika huduma za kifedha kwa kuwapa elimu sahihi ya kifedha na kunufaika na mikopo kwa lengo la kujikwamua kiuchumi. Amesema hayo leo Jumanne, Februari 24, 2026 wakati akifungua tawi la…