Eveline Ulanga anavyoendesha maisha kwa usafi majumbani
Dar es Salaam. Katika pilikapilika za maisha ya kila siku, kuna kazi nyingi ambazo wanawake huzifanya bila hata kuzitilia maanani kama ni fursa za kiuchumi. Kazi hizo ni za kawaida za kila siku kama za kufua, kufuta vumbi, kufagia na hata kusafisha samani, zote hizi huonekana kama kazi za kawaida kabisa na za wajibu wa…