Mapinduzi ya Kahawa Mbinga Yawanufaisha Wakulima, Wawapongeza Wadau huku Wakiahidi Uzalishaji zaidi.

 Wakulima wa zao la kahawa wilayani Mbinga, mkoani Ruvuma wameonyesha matumaini makubwa na jitihada pamoja na mikakati ya uboreshaji wa kilimo cha zao hilo wilayani humo huku wakiwashukuru wadau mbalimbali likiwemo serikali na shirika lisilo la kiserikali la Hanns R. Neumann Stiftung (HRNS) kwa jitihada zake hususani kwenye utoaji wa mafunzo ya mbinu bora za…

Read More

Shambulio la bomu katika shule ya msingi ya Iran ‘ni ukiukaji mkubwa wa sheria ya kibinadamu’: UNESCO – Masuala ya Ulimwenguni

Makombora hayo yanaripotiwa kuharibu shule ya msingi ya msichana huko Minab, kusini mwa Iran, na kuua karibu 150 na kujeruhi karibu 100. Wanafunzi wengi wanaaminika kuwa miongoni mwa waliofariki. Katika a kauli iliyotolewa kwenye mitandao ya kijamii, UNESCO walionyesha kusikitishwa sana na athari za mashambulizi ya kijeshi, ambayo yaliendelea hadi Jumapili, na kubainisha kuwa wanafunzi…

Read More

SMZ yatumia Sh38 bilioni kulipa fidia wananchi

Unguja. Serikali imesema Sh38 bilioni zimetumika kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na miradi mbalimbali ya maendeleo katika maeneo yao kisiwani hapa. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu, Machi 2, 2026, na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohamed, katika mkutano na waandishi wa habari kuelezea mafanikio ya siku 100 za Rais wa Zanzibar, Dk…

Read More

Richardson Ng’ondya atangaza vita mpya Geita Gold

KIUNGO mshambuliaji wa Geita Gold, Richardson Ng’ondya amesema kufanya vizuri kwa washindani wao wakubwa msimu huu, ni jambo linalowaongezea morali ya kupambana zaidi, ili kwa pamoja wafikie malengo ya kuirejesha tena timu hiyo Ligi Kuu. Nyota huyo, amesemaubora wa benchi la ufundi na wachezaji wa kikosi hicho unawapa motisha ya kuipambania timu hiyo ili irejee…

Read More

Barberian FC yanyatia rekodi mbovu Championship

TIMU ya Barberian, inanyemelea rekodi mbovu msimu huu katika Ligi ya Championship, baada ya kikosi hicho ambazo zamani kilikuwa kinafahamika kwa jina la Kiluvya United, kushinda mechi moja tu hadi sasa kati ya 19 ilizocheza, kikiwa mkiani. Katika mechi hiyo moja ambayo kikosi hicho imeshinda msimu huu, ilikuwa ya ushindi wa mabao 2-1, dhidi ya…

Read More