Trump Atangaza Vita dhidi ya Iran, Milipuko Yaripotiwa Mashariki ya Kati, Iran Yajibu
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuanza kwa kile alichokiita “operesheni kubwa za kivita” dhidi ya Iran, akisema hatua hiyo inalenga kulinda raia wa Marekani kwa kuondoa vitisho vinavyodaiwa kutoka kwa utawala wa Tehran. Katika ujumbe wa video uliorushwa kwenye mitandao ya kijamii, Trump alisema Marekani kwa kushirikiana na Israel imeanzisha mashambulizi ya makombora yaliyolenga…