FCC YAADHIMISHA WIKI YA HAKI ZA MLAJI KWA KUTOA MAFUNZO KWA WANAFUNZI CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI NJOMBE
Mkuu wa Kanda ya Tume ya Ushindani (FCC) – Nyanda ya Juu Kusini, Bw. Dickson Mbanga,akitoa elimu kuhusiana madhara ya bidhaa bandia kwa wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Njombe (FDC) ikiwa ni sehemu ya kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Siku ya Haki za Mlaji Duniani 2026. …. TUME ya Ushindani (FCC) kanda…