Polisi Dar wakazia marufuku matumizi ya njia za mwendokasi

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesisitiza marufuku kwa magari binafsi, ya serikali pamoja na pikipiki kutumia barabara maalum za mabasi yaendayo haraka (BRT), likieleza kuwa hatua hiyo inalenga kuzuia ajali zinazoweza kusababisha madhara makubwa kwa abiria. Tamko hilo linakuja kufuatia kuendelea kwa ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani…

Read More

MBUNGE WA MBARALI AWEKA MIKAKATI YA MAENDELEO KWA KUSIKILIZA WANANCHI

***** Na Mwandishi Wetu Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Bahati Ndingo, amesema ataongoza jimbo hilo kwa kusikiliza wananchi na kuwasemea katika vyombo vya maamuzi ili kutafuta suluhisho la changamoto zinazowakabili. Akizungumza katika mahojiano na mwandishi, Ndingo alisema katika kipindi chake cha ubunge atakuwa daraja kati ya wananchi na Serikali kwa kuhakikisha  maoni, ushauri na mapendekezo…

Read More

MKUTANO WA HALI YA WANAWAKE DUNIANI (CSW 70 WAHITIMISHWA NEW YORK, MAREKANI.

-WAZIRI DKT. GWAJIMA KUANZISHA JUKWAA LA MAJADILIANO ENDELEVU YA KISEKTA KUHUSU MIKUTANO YA WIZARA KIMATAIFA. Na WMJJWM New York Marekani Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema, Serikali kupitia Wizara anayoiongoza itaanzisha Jukwaa endelevu la majadiliano ya Kisekta litakaosaidia kuongeza ufanisi wa ushiriki wa Nchi katika Mikutano…

Read More

BAKWATA Yamtangaza Rais Samia Kuongoza Baraza la Eid Jijini Dar

Global Publishers March 20, 2026 0 Comments Waislamu nchini Tanzania kesho Machi 21, 2026  wanatarajiwa kuadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri kwa shangwe na ibada maalum, ikiwa ni hitimisho la mwezi mtukufu wa Ramadhani. Nchini Tanzania, Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni…

Read More

TANZANIA KUENDESHA MAFUNZO, KONGAMANO LA USHIRIKISHWAJI WA WANAWAKE KWENYE USULUHISHI WA MIGOGORO KWA NJIA MBADALA

Tanzania yafanya maandalizi ya kuendesha mafunzo na kongamano la ushirikishwaji wa wanawake kwenye usuluhishi wa migogoro kwa njia mbadala ili kuongeza idadi ya wanawake waliothibitishwa kwenye ngazi ya maamuzi na ushiriki kwenye utatuzi wa migogoro ndani na nje ya nchi. Hayo yameelezwa leo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi…

Read More

Sare ya Simba yalinda rekodi ya Yanga

Simba juzi Alhamisi, Machi 19, 2026 ililazimishwa sare ya bao 1-1 na Pamba Jiji katika mechi ya Ligi Kuu ya NBC iliyochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza. Matokeo hayo yameifanya Simba ipande hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ikifikisha pointi 28 huku Pamba jiji ikibaki katika nafasi ya tano ikifikisha pointi 25….

Read More

Kuongezeka kwa Jua nchini Pakistani Kukabili Mgogoro wa Nishati wa Mashariki ya Kati – Masuala ya Ulimwenguni

Serikali ya Sindh imeanza kusambaza mifumo ya nishati ya jua kwa kaya 200,000 za kipato cha chini chini ya Mradi wa Nishati ya jua wa Sindh ili kuboresha upatikanaji wa umeme. Credit: Sindh People’s Housing kwa Walioathiriwa na Mafuriko na Zofeen Ebrahim (karachi, pakistan) Ijumaa, Machi 20, 2026 Inter Press Service KARACHI, Pakistani, Machi 20…

Read More