Miezi minne migumu anayopitia Mzize Yanga
TAKRIBANI miezi minne imepita tangu Clement Mzize afanyiwe upasuaji wa goti, lakini hii ya sasa inaweza kuwa taarifa mbaya kwa mashabiki wa Yanga, baada ya mshambuliaji wao huyo kukumbana na majanga mengine. Mzize imeripotiwa…