Dereva mbaroni kwa kusafirisha wahamiaji haramu
Njombe. Jeshi la polisi mkoa wa Njombe linamshikilia Sipha Credo Mgonde (47) ambaye ni dereva na mkazi wa Mbagala jijini Dar es salaam kwa tuhuma za kusafirisha wahamiaji haramu ambao wanatajwa kuwa ni raia wa kigeni kutoka huko nchini Ethiopia. Dereva huyo amekamatwa katika Kijiji cha Mtewele kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe huko mkoani…