Mtoto wa Mjini – 6

HUKU akiendelea kuwatazama kwa zamu vijana wale kutaka kuwakumbuka kama aliwahi kuwaona mahali, mzee Mangushi alijibu: “Marhaba…”Na baada ya kutambua sura zao zilikuwa ngeni machoni pake, akawauliza: “Niwasaidie nini?” “Kuna shida kidogo mzee wangu,” alisema mmoja wao na kumfanya mzee Mangushi kuutoa mwili wake wote nje ya mlango.“Shida gani tena?” alihoji uso wake ukitaliwa na wasiwasi.“Mimi…

Read More

Mwenzi Wako Akikuonyesha Haya, Jua Hakutaki!

KWA kawaida mtu anapompenda mtu huwa ni vigumu sana kumuacha aende. Hatamani hata siku moja kumpoteza mtu ampendaye. Atafanya kila linalowezekana kuhakikisha kwamba mhusika anakuwa mpenzi wake. Mapenzi humfanya mtu awe kipofu. Anashindwa kufikiri sawasawa na kufanya maamuzi sahihi. Hisia kali za mapenzi zinampeleka ndivyo sivyo yeye anaamini yupo sahihi. Mtu wa namna hii, mara…

Read More

Fahamu Makundi Matatu ya Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo

KUNA makundi matatu makuu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo na leo tutajadili kwa kina aina hizo za magonjwa haya ya tumbo kama ifuatavyo:1. Gastric Ulcers: Aina hii ya vidonda vya tumbo hutokea kwenye mfuko wa kuhifadhia chakula yaani tumbo. Vidonda hivi hutokea katika utumbo kwa sababu mbalimbali kama vile mtu kupata maambukizi ya bakteria…

Read More

MWANAFUNZI MUHAS ABUNI KIFAA CHA KUPIMA MANJANO BILA KUCHUKUA DAMU.

Na Karama Kenyunko Michuzi Tv MWANAFUNZI wa Uhandisi Tiba kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) wamekuja na ubunifu wa kifaa kinachoitwa BiliMeasure, kinachotumika kupima kiwango cha bilirubini inayosababisha homa ya manjano kwa watoto wachanga bila kuchukua sampuli ya damu. Akizungumza katika Maonesho ya Pili ya Ubunifu ya MUHAS (Innovation Week 2026), yaliyofanyika leo…

Read More