TIA yaboresha mitaala kukidhi soko la ajira na mabadiliko ya teknolojia
Morogoro. Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) imeendelea kuimarisha ubora wa mafunzo kwa kuboresha miundombinu ya ufundishaji na kufanya mapitio ya mitaala, hatua inayolenga kuzalisha wahitimu wenye ujuzi unaokidhi mahitaji ya soko la ajira na kuendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia. Akizungumza leo Machi 20, 2026 mjini Morogoro katika kikao cha tatu cha Baraza Kuu…