WANACHUO WAFUNZWA NAMNA YA KUEPUKA UDANGANYIFU SOKONI⁸

  Afisa Mlinda Mlaji Mwandamizi FCC Bi.Magdalena Hall,akitoa elimu kuhusu masuala ya kumlinda mlaji na mikataba ya walaji kwa wanafunzi wa Chuo Cha Ufundi Stadi VETA Kibaha ,ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Haki za Mlaji Duniani 2026. …. KATIKA harakati za kuimarisha uelewa wa haki za walaji nchini, Tume ya…

Read More

Refa Aliyeinyima Yanga Penati Afungiwa Mizunguko Mitatu

Global Publishers March 20, 2026 0 Comments Mwamuzi Ally Mnyupe kutoka Morogoro amefungiwa kuchezesha mechi kwa mizunguko mitatu (3) baada ya kushindwa kutafsiri ipasavyo sheria za mpira wa miguu katika mchezo kati ya Azam FC na Yanga. Katika mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa na kumalizika kwa sare tasa, mwamuzi huyo alishindwa kutoa…

Read More

Siri ya Uteuzi wa Askofu na Mamlaka kutoka Vatican

Pope Leo XIV Kanisa Katoliki, uteuzi na usimikaji wa askofu ni mchakato wa kina unaozingatia misingi ya kiroho, nidhamu ya kanisa na utaratibu wa kimamlaka. Hatua hizi huanzia ngazi ya chini kabisa ya dayosisi hadi kufikia mamlaka ya juu kabisa ya kanisa iliyoko Vatican City. Mchakato huanza pale nafasi ya askofu inapokuwa wazi, iwe ni…

Read More