Watoto 162,099 Maswa kupatiwa chanjo ya matone ya polio
Maswa. Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Dk Vincent Anney, amewataka wazazi na walezi kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kuanzia miaka sifuri hadi 10 wanapatiwa chanjo ya matone ya polio ili kuwalinda dhidi ya ugonjwa huo, unaoweza kusababisha ulemavu wa kudumu. Rai hiyo imetolewa leo Machi 24, 2026 wakati akizindua rasmi kampeni ya…