Hesabu za Simba, Azam zikiifukuzia Yanga

MATOKEO ya mechi ya leo Alhamisi yataamua mshale wa Simba katika msimamo wa Ligi Kuu Bara upande hatua mbili juu au ubaki hapohapo huku kikosi hicho cha Steve Barker kikiwa na mtihani mbele ya Pamba Jiji. Ni mechi itakayochezwa saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, dimba ambalo wenyeji Pamba Jiji msimu…

Read More

Uhamiaji yatoa mwelekeo mechi 10 ZPL

MWENYEKITI wa timu ya Uhamiaji inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Ali Juma Abdulkadir amesema kipindi cha mapumziko kwa ajili ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kimewafanya wachezaji kupumzisha miili yao. Alisema hilo limekuwa ahueni kwao ikizingatiwa mechi 10 za mwisho zitachezwa mfululizo, hivyo limewajenga vizuri kimwili na kiakili. Mwenyekiti huyo alisema Uhamiaji ya msimu wa 2025-2026…

Read More

Wanafunzi wajikusanyia mamilioni ya ubunifu, ujasiriamali

Dar es Salaam. Katika juhudi za kuchochea ubunifu, utafiti na uthubutu miongoni mwa vijana, sambamba na kuimarisha elimu ya fedha na ujasiriamali wa vitendo katika shule za sekondari, wanafunzi kutoka shule mbalimbali nchini wamezawadiwa fedha taslimu baada ya kuibuka washindi wa mashindano ya kitaifa. Washindi hao wamepatikana kupitia mashindano ya uandishi wa insha na ubunifu…

Read More

Wanawake wahimizwa kuchangamkia fursa sekta ya usuluhishi

Dar es Salaam. Wakati sekta ya Utatuzi wa Migogoro kwa Njia Mbadala (ADR) ikiendelea kukua kwa kasi duniani ikiwemo Tanzania, wadau wamewataka wanawake kujitokeza na kuchangamkia fursa hiyo kwani bado inatawaliwa zaidi na wanaume. Kwa mujibu wa takwimu za tafiti mbalimbali barani Afrika, asilimia 72 ya wasuluhishi ni wanaume huku wanawake wakiwa ni asilimia 28…

Read More