Bandari mpya Kisiwa Mgao itakavyoinua uchumi Kusini

Kelele za malori mazito yaliyokuwa yakibeba makaa ya mawe na mizigo mingine mikubwa zimekuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa wakazi wa Mtwara kwa miaka kadhaa sasa. Lakini hali hiyo inatarajiwa kubadilika kadri ujenzi wa bandari mpya maalumu ya mizigo mikubwa katika Kisiwa cha Mgao unavyoendelea kushika kasi. Mradi huo unaotekelezwa na Mamlaka ya…

Read More

Bashiri na Meridianbet Mechi za UEFA Leo

JE, unajua kuwa siku ya leo unaweza ukaibuka na pesa ndefu ukibashiri mechi zako zote na Meridianbet?. Timu zinawania nafasi ya kufuzu hatua ya Robo Fainali zinakungoja. Jisajili sasa. Mechi itakayoanza ni hii ya Barcelona vs Newcastle United huku mechi ya kwanza walipokutana walitoa sare, ambapo vijana wa Hans Flick wakkisawazisha bado dakika za mwaisho…

Read More

Usiposafisha kinywa asubuhi, usiku haya yatakupata

Dar es Salaam. Wakati kesho Ijumaa, Machi 20, 2026 dunia ikiungana kuadhimisha Siku ya Afya ya Kinywa, imeelezwa kuwa,  baadhi ya watu bado hawalichukulii kwa uzito unaostahili suala la kutunza meno, fizi na ulimi. Siku hii ilianzishwa mwaka 2013 ikiwa na malengo mbalimbali ikiwamo kuongeza uelewa, kuwa watu wengi duniani walikuwa hawatilii mkazo afya ya…

Read More

Namna bora ya kufikiri ili kufanikiwa kifedha

Watu wengi hutamani kufanikiwa kifedha na kufikia maisha yenye ustawi. Hata hivyo, mara nyingi watu hujiuliza kwa nini baadhi ya watu wanafanikiwa sana katika maisha ya kifedha wakati wengine wanabaki katika hali ileile kwa muda mrefu. Ukweli ni kwamba mafanikio ya kifedha hayategemei tu kiasi cha fedha mtu anachopata, bali pia namna mtu anavyofikiri kuhusu…

Read More

Umuhimu wa sikukuu kwa biashara ndogo

Ingawa wengi huona kipindi cha sikukuu kama muda wa mapumziko na ibada, nyuma ya pazia kuna gurudumu kubwa la kiuchumi linalozunguka kwa kasi ya ajabu. Katika muktadha wa Tanzania, msimu huu si tu wakati wa kula pilau na kutembelea ndugu, bali ni “mzunguko wa dhahabu” kwa biashara ndogo na za kati (SMEs), hasa zile zilizoko…

Read More