TCB YAZINDUA KAMPENI YA KUCHOCHEA UCHUMI NA KUWEZESHA NDOTO ZA WATANZANIA

 ******* Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua kampeni maalum yenye lengo la kuimarisha ujumuishwaji wa kifedha na kuchochea ukuaji wa uchumi kwa kuwawezesha Watanzania kupata suluhisho sahihi za kifedha.  Hatua hiyo inalenga kuongeza upatikanaji wa huduma za kifedha kwa makundi mbalimbali, hususan wajasiriamali na biashara ndogo na za kati, ili kuchangia ukuaji wa kipato na…

Read More

Maridhiano yatajwa kichaka kukwamisha Katiba Mpya

Dar es Salaam. Wadau hao wamesisitiza kuwa mchakato wa Katiba Mpya ni wa kisheria unaohitaji kuanza kwa kuwasilisha muswada wa sharia bungeni, hivyo haupaswi kuhusishwa moja kwa moja na matukio ya hivi karibuni, ikiwemo uchunguzi wa vurugu hizo. Hata hivyo, wengine wameeleza kuwa hatua zinazopendekezwa zinafanana na kuchomeka mambo ambayo hayahitajiki, hivyo kuweo uwezekano wa…

Read More

Muelekeo mpya ukusanyaji wa mapato

Dar es Salaam. Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi imependekeza mabadiliko katika sekta ya kodi, ikiwamo kubadili jina la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuitwa Huduma za Mapato Tanzania (TRS). Tume hiyo iliyoongozwa na mwenyekiti wake, Balozi Ombeni Sefue, ilianzishwa Julai 31, 2024 na kuanza kazi Oktoba 4, 2024 imekuja…

Read More

TRA yaikazia Yanga, Dube, Mwenda wazua hofu

YANGA imevutwa shati na TRA United katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumatano Machi 18, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha baada ya timu hizo kushindwa kufungana. Katika mechi hiyo, Yanga iliwakosa wachezaji sita wanaouguza majeraha ambao ni Clement Mzize, Dickson Job, Ibrahim Abdullah ‘Bacca’, Laurindo Aurelio ‘Depu’, Chadrack Boka…

Read More

Yanga yasimamishwa na TRA, Dube, Mwenda wazua hofu

YANGA imevutwa shati na TRA United katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumatano Machi 18, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha baada ya timu hizo kushindwa kufungana. Katika mechi hiyo, Yanga iliwakosa wachezaji sita wanaouguza majeraha ambao ni Clement Mzize, Dickson Job, Ibrahim Abdullah ‘Bacca’, Laurindo Aurelio ‘Depu’, Chadrack Boka…

Read More

Manula arejea Stars Gamondi akiita 25

KOCHA wa Taifa Stars, Miguel Gamondi ametangaza kikosi cha wachezaji 25 akiwemo kipa Aishi Manula wa Azam kujiandaa na michezo miwili ya FIFA Series 2026 ambayo itachezwa Kigali nchini Rwanda. FIFA Series ambayo imekuwa ikifanyika katika kipindi cha kalenda ya FIFA, Machi 26, 2026 Taifa Stars itacheza dhidi ya Liechtenstein kwenye Uwanja wa Kigali Pelé…

Read More

Maximo aiombea KMC | Mwanaspoti

LICHA ya kuachana na kikosi cha KMC, kocha Marcio Maximo amesema bado anaiombea dua njema timu hiyo ibaki Ligi Kuu Bara. Ni wazi kwamba KMC haina msimu mzuri kwani ndiyo inayoshika mkia ikiwa imecheza mechi 16, imeshinda mbili, sare mbili na kupoteza 12 ikikusanya pointi 18. Maximo ambaye alianza na timu hiyo msimu huu kabla…

Read More