Mahakama yakataa madai dhidi ya Tume ya Jaji Chande -4
Dar es Salaam. Katika sehemu ya mwisho ya mapitio ya uamuzi wa shauri la kupinga Tume ya Rais ya kuchunguza matukio ya ghasia na uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mahakama imetoa uamuzi wake. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam katika uamuzi huo uliotolewa na Jaji…