FYATU MFYATUZI: Fyatu anapomkumbuka Fyatu Joni Kanywaji Makufuli
Najua unanisikia hata kama hutanijibu. Katika kumbukizi hili, mafyatu wenzako tunakukumbuka kinamna. Wapo wanaokulilia na wanaoshangilia kutegemea na hali. Leo, sitachonga sana bali kufyatuka. Kwanza, wasalimiwa na mafyatu wako wote na wananzengo. Tunakumiss kifyatu. Pili, pole kwa sababu, kama ulivyokuwa ukisema, kuna mafyatu utawashangaa. Ungerudi, ungejinyotoa roho namna mambo yalivyovurugika. Mfano, mafyatu na majipu uliyokuwa…