Zoya: Binti wa miaka 14 anayepigania wasichana kubaki shuleni
Dar es Salaam. Methali isemayo “penye nia pana njia” inaakisi vyema safari ya Zoya-Fatimah Dewji (Zoya), msichana mwenye umri wa miaka 14 ambaye ameanza kuchukua hatua madhubuti kukabiliana na hedhi – moja ya changamoto zinazowazuia wasichana wengi nchini Tanzania kuhudhuria masomo kikamilifu. Licha ya kuwa bado ni mwanafunzi, Zoya ameanzisha kampeni iitwayo “Stay in School”…