Wanasheria wajitosa kupambania haki za urithi kwa wanawake

Arusha. Umoja wa Wanasheria wa Pan-Africa (Palu) umeanza hatua za kutetea haki za urithi za wanawake wa Kiafrika wanaoishi katika ndoa zisizo rasmi, zinazojulikana kama “njoo tuishi,” pamoja na watoto wao ili kuhakikisha wanapata haki sawa za urithi. Hatua hiyo imeanza leo Machi 17, 2026 jijini Arusha baada ya Palu kuwasilisha hati ya kuomba mwongozo…

Read More

Dar City yaahidi makubwa BAL

DAR City ikiwa katika maandalizi kwa ajili ya Ligi ya Kikapu Africa (BAL) 2026, meneja wa timu hiyo, Simon Joe amesema wanajipanga kufanya makubwa katika mashindano hayo wakilenga kutoa ushindani wa hali ya juu na kuandika rekodi mbalimbali. Mashindano ya BAL yamepangwa kuanza Machi 27, mwaka huu, yakiwa yamegawanywa katika makundi mawili yatakayochezwa katika nchi…

Read More

Tasac yatoa tahadhari baada ya jahazi kuzama

Dar es Salaam. Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (Tasac) limewakumbusha wananchi wanaotumia usafiri wa majini kutumia vyombo vya usafiri vilivyoidhinishwa kubeba abiria na kuepuka kupanda vyombo vya mizigo ambavyo haviruhusiwi kubeba abiria. Tasac imetoa wito huo siku moja baada ya kuripotiwa jahazi lililosajiliwa kwa ajili ya kubeba mizigo kuzama na kusababisha vifo vya watu…

Read More

Shincheonji Yaadhimisha Miaka 42: “Kutoka Kwenye Handaki Hadi Kuwa Dhehebu Linaloongezeka kwa Makumi ya Maelfu Kila Mwaka”

*Ibada ya Ukumbusho Iliyofanyika katika Kanisa la Cheongju, Shincheonji Kanisa la Yesu tarehe 15 *Siri ya Ukuaji wa Haraka wa Vizazi Vingi: Mafundisho ya Kipekee  Mwenyekiti Lee Man-hee akitoa ujumbe katika Ibada ya Kuadhimisha Miaka 42 ya Kuanzishwa kwa Shincheonji Kanisa la Yesu, iliyofanyika katika Kanisa la Cheongju, Shincheonji Kanisa la Yesu tarehe 15. Kujitolea…

Read More

Serikali yajifunga kitanzi maji ya uhakiki mradi wa Same–Mwanga–Korogwe

Mwanga. Serikali kupitia Wizara ya Maji imesema itaendelea kuhakikisha wananchi wanaozungukwa na mradi mkubwa wa maji wa Same–Mwanga–Korogwe wanapata huduma ya maji safi na salama kwa uhakika wakati wote. Hatua hiyo inalenga kuboresha maisha ya wananchi pamoja na kulinda afya za jamii zinazoishi katika maeneo yanayonufaika na mradi huo. Akizungumza leo Jumanne Machi 17, 2026…

Read More