Maboresho mfumo kodi na maendeleo tuyatakayo

………… Na: Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga  Juhudi za kujiletea maendeleo zinategemea sana ufanisi wa ukusanyaji kodi kutoka kwa wananchi. Wizara, taasisi na vitengo mbalimbali wanaweza wakakaa chini kupanga, kujadili na kuja na mipango mingi mizuri ya maendeleo lakini itakapofika kipengele cha namna ya kutekeleza mipango hiyo, maeneo mengi yatahitaji fedha ili kufanikisha. Kimsingi, kodi ni…

Read More

Ushiriki wa Watanzania Sekta ya Madini Waongezwa Kupitia Huduma za Kisheria

Serikali kupitia Tume ya Madini imeendelea kusisitiza umuhimu wa utekelezaji madhubuti wa sheria na kanuni katika sekta ya madini, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuhakikisha rasilimali za taifa zinawanufaisha Watanzania na kulinda maslahi mapana ya nchi. Akizungumza jijini Dodoma katika kikao kazi kilichowakutanisha wawakilishi wa mawakili kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Ofisi ya…

Read More

KUELEKEA UZINDUZI WA WAZOHURU APARTMENTS MATHIAS CANAL ACHANGIA VIFAA VYA MICHEZO VYA MIL 4 MANISPAA YA SINGIDA

Kuelekea uzinduzi wa WazoHuru Air BnB Apartments Mtaa wa Unyankae-Miembeni Manispaa na Mkoa wa Singida, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Wazohuru Media Group Limited amechangia vifaa vya michezo kwenye shule za msingi katika Manispaa ya Singida vyenye gharama ya shilingi Milioni 4.2 Vifaa hivyo vya michezo ni pamoja na jezi Jozi moja yenye jezi…

Read More

66 wapoteza maisha ajali ya ndege Colombia

Watu wasiopungua 66 wamefariki dunia baada ya ndege ya kijeshi kuanguka muda mfupi baada ya kupaa nchini Colombia, magharibi mwa msitu wa Amazon. Ndege hiyo ya kijeshi iliyokuwa imebeba watu 128, wengi wao wakiwa wanajeshi, imeanguka karibu na mji wa Puerto Leguizamo na kusababisha vifo hivyo huku wengine kadhaa wakijeruhiwa. Mkuu wa majeshi ya Colombia,…

Read More

Ghasia za Ukraine ‘mbaya zaidi kuliko hapo awali’, Baraza la Usalama lasikia – Masuala ya Ulimwenguni

Rosemary DiCarlo alielezea mzozo huo kama “karibu siku 1,500 za kifo, uharibifu na kukata tamaa” na kusisitiza wito wa muda mrefu wa Umoja wa Mataifa wa kusitisha mapigano. Tangu vita kuanza, raia 15,364 wameuawa, ikiwa ni pamoja na watoto 775, na zaidi ya 42,000 wengine kujeruhiwa, ingawa idadi halisi inaweza kuwa juu. “Mateso na uharibifu…

Read More