Israel yadai kuwaua vigogo wengine wa Iran, Mojtaba asema…

Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz amesema vikosi vya nchi hiyo vimemuua mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, anayechukuliwa kuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa, pamoja na Gholamreza Soleimani, aliyekuwa akiongoza kikosi cha wanamgambo wa kujitolea cha Basij, ambacho kina mchango mkubwa katika usalama wa ndani. Taarifa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu…

Read More

MHE. MCHENGERWA ATOA WITO KWA WATANZANIA KUTUMIA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI KUIMARISHA UMOJA WA KITAIFA

-Aendelea kufuturisha, Mwaseni na Kipugila -Wananchi washiriki futari, waipongeza Serikali kwa maendeleo Na Yohana Kidaga- Mkongo Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa wito kwa waislamu na watanzania wote kwa ujumla kuendeleza dua, amani na mshikamano katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani, akisisitiza kuwa kipindi hiki ni cha toba, kujisafisha…

Read More

Nani Kwenda Robo Fainali UEFA Leo?

  LEO ni leo asemaye kesho muongo, Huu ni msemo ambao Wahenga walimaanisha kuwa jambo linalotakiwa kufanyika leo limailzike leo, na Meridianbet wanakwambia pesa inapatikana kwenye mechi za Uefa leo hivyo ingia na ubeti hapa. Mapema kabisa Sporting Lisbon atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Bodo/Glimt ambao walishinda mechi yao ya kwanza walipokutana. Mlima ni mrefu wa kushinda…

Read More

Sowah Hatihati Kutimuliwa Simba Kwa Utovu wa Nidhamu

Global Publishers March 17, 2026 0 Comments MSHAMBULIAJI namba moja wa Simba, Jonathan Sowah kuna hatihati kuondoka ndani ya kikosi hicho kutokana na tatizo la nidhamu. Sowah ndani ya NBC Premier League amefunga magoli matatu akiwa ni miongoni mwa wachezaji wenye magoli mengi ndani ya kikosi hicho. Kwa sasa Sowah hayupo kwenye mipango ya timu…

Read More

Ecobank Group Yaweka Rekodi ya Ongezeko la Mikopo kwa Biashara za Wanawake Afrika

Ecobank Group imetangaza ukuaji mkubwa wa mikopo, likilenga kuimarisha ujasiriamali wa wanawake barani Afrika. Ecobank imerekodi ongezeko kubwa la asilimia 194 katika utoaji wa mikopo kwa biashara zinazoongozwa na wanawake, likifikia dola za Marekani milioni 780 mwaka 2025 kutoka dola milioni 265 mwaka 2024. Hatua hii inaashiria mafanikio ya juhudi za benki hiyo katika kukuza usawa…

Read More

CCBRT yatikisika, sababu yatajwa | Mwananchi

Dar es Salaam. Dalili za kuyumba kwa baadhi ya huduma zimeanza kuonekana katika Hospitali ya CCBRT, inayojulikana kwa huduma za matibabu maalumu ya wenye ulemavu na uzazi kutokana na changamoto za kifedha. Ugumu unaopitiwa na hospitali hiyo iliyopo Msasani jijini Dar es Salaam, ni katika utoaji wa huduma bure kwa watu wenye matatizo ya macho,…

Read More