Julie Manning: Mwanamama aliyegeuza, kuijenga upya taswira ya Sheria Tanzania
Dar es Salaam. Jaji wa kwanza mwanamke nchini na Afrika Mashariki, Julie Catherine Manning amefariki dunia leo Ijumaa, Machi 202, 2026 katika Hospitali ya Hitech Sai Healthcare Upanga jijini Dar es Salaam alikokuwa akipata matibabu. Jaji Manning ambaye ni mstaafu aliteuliwa Jaji wa Mahakama Kuu mwaka 1973 hadi 1975 na baadaye aliteuliwa kuwa Waziri wa…